Askari mstaafu SGT Augustino Sambangi
ambae ni mwenyekiti wa askari wastaafu mkoa wa Iringa akitoa
heshima zake katika mnala huo leo
Askari mstaafu SGT Augustino Sambangi
ambae ni mwenyekiti wa askari wastaafu mkoa wa Iringa akiweka
upinde katika mnala huo
Askari na mgeni rasmi wakitoa heshima zao katika mnala wa kumbukumbu ya mashujaa leo
Mkuu wa mgambo mkoa wa Iringa COl Sv Shayo akiweka shime katika mnala huo
Mwakilishi wa wananchi wa mkoa wa
Iringa mzee Said Mdota akitoka katika mnala huo baada ya kuweka
shoka la kumbukumbu
Wafanyakazi wa Hospital ya Rufaa ya
mkoa wa Iringa wakiwa wamepanda juu ya uzio kushuhudia kabla ya
kutimua mbio kutokana na milio ya risasi
Askari wa jeshi la kujenga Taifa (JWTZ) wakipiga risasi hewani kutoa heshima kwa mashujaa hao
0 comments:
Post a Comment