| Askari polisi akitazama mwili wa mtoto huyo |
| hali ilivyokutwa ndani ya chumba hicho baada ya tukio |
| Wananchi wa Makorongini wakimtazama mwanamke huyo wakati akihojiwa na kaka wa mtuhumiwa wa mauwaji hayo |
| Mama
wa mtoto Raymond katikati akimsimulia shemeji yake jinsi ambavyo mpenzi wake alivyoua mtoto ,kushoto ni mama mzazi wa mwanamke huyo |
| Huyu ndie mzazi wa mtoto aliyeuwawa Bi Kudra Kahemela (23) |
| Mama wa mtoto aliyeuwawa Kudra kahemela kushoto akiwa na mama yake mzazi katikati na dadake kulia |
| Mmoja kati ya askari wa kike kulia akimsaidia kumfunga kanga mama wa mtoto Raymond |
| Wanawake wa mtaa wa Pangani Iringa wakiuhifadhi mwili wa mtoto Raymond leo |
| Polisi Iringa wakiutoka mwili wa mtoto Raymond leo |
| umati wa wananchi waliofika kushuhudia tukio hilo leo |
0 comments:
Post a Comment