Mtoto wa mbuzi aliyezaliwa akiwa na sura ya binadamu
kuanzia shingoni hadi kichwani na kuanzi
a kifuani kushuka chini ni mbuzi halisi ni tukio
lililotokea juzi ktk tarafa ya Pawaga Iringa kijiji c
ha Isele na mbuzi huyo kuzikwa kwa heshima
zote kama binadamu. Na Francis Godwin
0 comments:
Post a Comment