Iringa.Wanachama wa vikundi vinane vya Benki za
Jamii(Vikoba) Kata ya Igowole, wilayani Mufindi, mkoani hapa,
wameanzisha mfuko maalumu kuchangia malezi ya watoto yatima na wanaoishi
mazingira magumu. Uamuzi huo ulifikiwa na baada ya kubaini uwapo wa
ongezeko la watoto hao, linalotokana na wazazi wao kufariki dunia
kutokana na ugonjwa wa Ukimwi.
Ofisa Maendeleo Kata ya Igowole, Khery Chalamila alisema kuna kaya 2,769 zinakabiliwa na ongezo kubwa la watoto yatima.
Chanzo;Mwananchi
Chanzo;Mwananchi
0 comments:
Post a Comment