Gari lenye namba za usajili T606 BJB lilolokuwa
linaelekea Ifunda kutoka Stand kuu ya Iringa limepata ajali eneo la
Kitwiru baada ya kugongana na
Lori lenye namba T 234 CLU ambalo ni Mali ya T.H Clements & Son LTD, Ajali hii ilitokea baada ya Dereva wa basi alipojaribu kulipita Lori hilo bila
mafanikio na watu watatu wamejeruhiwa katika ajali hiyo. (Picha na Said Ng'amilo)
Kwa hisani ya
Mjengwa blog
0 comments:
Post a Comment