PICHA ZOTE NA FRANCIS GODWIN |
Mkuu wa mko wa
Mbeya Bw Abas Kandoro (kulia) akimkabidhi mwenge wa uhuru mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma baada ya kuwasili mkoani Iringa katika kijiji cha Igomaa Mufindi leo ukitokea wilaya ya Mbarali mkoa wa Mbeya |
Wakuu wa wilaya
wa mkoa wa Mbeya na wananchi wa wilaya ya Mbarali wakiwa katika kijiji cha Igomaa Mufindi kukabidhi mwenge mkoa wa Iringa |
Mambao ya mkoa
wa Iringa yavunja rekodi kwa kuwa na jumbe za Mwenge za kisasa zaidi ambazo hakuna mkoa uliopata kutengeneza mabango kama haya nchi nzima |

0 comments:
Post a Comment