Home » » MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA AKABIDHIWA TUZO YA HESHIMA IRINGA LEO.

MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA AKABIDHIWA TUZO YA HESHIMA IRINGA LEO.



Kaimu  Meya  wa manispaa ya  Iringa
 Vitus Mushi (kushoto) akisalimiana
 na waziri mkuu mstaafu  Edward 
Lowassa baada ya
  kutua  uwanja  wa ndege  wa Nduli  Iringa

Mkurugenzi  wa Halmashauri
 ya Manispaa ya Iringa  Teresia
 Mahongo akimpokea  Lowassa

Mwenyekiti wa UVCCM
 mkoa  wa Iringa mwanahabari
 Tumain Msowoya  akisalimiana na LOwassa



;">
kada  wa CCM Bw  Lazaro akisalimiana na Lowassa


Mfanyakazi  wa radio 
 Overscomers  Fm Adela 
 kivamba akisalimia na Lowassa

Mbunge  wa  jimbo la Mufindi
 Kusini Mendrady Kigola 
akijitambulisha mbele  ya  Lowassa

Mbunge  wa  jimbo la
 Ludewa  Deo  Filikunjombe
  akitoa neno mbele ya  
Lowassa kwa  kuwataka  viongozi 
wa serikali kujisahihisha 
kuwa mambo yanavyokwenda
  sivyo yanavyotakiwa kwenda

Mbunge  wa jimbo la 
Mwibara Kangi Lugola
 pacha wa Filikunjombe akinena jambo

Askofu  wa OPC Iringa
  Dkt  Boaz Sollo akimkabidhi  
tuzo ya  heshima waziri 
 mkuu  mstaafu Edward  
Lowassa leo katika ukumbi
  wa St Dominic-PICHA ZOTE NA
 FRANCIS GODWIN
 MZEE WA MATUKIO DAIMA

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa