Home » » MWENDESHA BODA BODA ABIRIA WAKE WALIOKUWA MSAFARA WA LOWASSA IRINGA WAPATA AJALI

MWENDESHA BODA BODA ABIRIA WAKE WALIOKUWA MSAFARA WA LOWASSA IRINGA WAPATA AJALI


Dereva   boda  boda Japheth Aser akiwa na abiria  wake  Terresia Mapiu wakielekea  eneo la Retco Bar ambapo walipata  ajali  mbaya  ya  boda  boda  kuhama  njia na kutumbukia katika mtaro na  kupelekea  kujeruhiwa  vibaya  wakati  wa  ziara ya  waziri mkuu  wa  zamani  Edward  Lowassa
Wananchi wakishuhudia  ajali  hiyo mbaya  iliyotokea wakati  wa msafara  wa  Lowasa leo hapa ni   baada  ya  boda  boda  hiyo  kupata ajali katika mtaro ni  boda  boda  yenye namba T 495 CCR

Dereva  wa boda  boda  hiyo ambae ni majeruhi akiwa  amepakiwa katika  buti ya gari lenye namba  T 910 CGA kukimbizwa Hospitali ya  Rufaa ya mkoa  wa Iringa baada ya ajali hiyo mbaya
Mmoja kati ya madereva boda boda ambae  jina halikuweza kufahamika  akisogea  kutoa msaada  kwa mwenzake  aliyehifadhiwa katika  buti ya gari baada ya ajali  kutokea
Dereva  boda  boda akiwa  hoi ndani ya  buti ya  Taxi akikimbizwa  Hospitali ya  rufaa ya  mkoa  wa Iringa
Muuguzi Teresia Mapiu ambaye  ni muumini  wa  kanisa la Overcomers POwer  Center  (OPC) mkoani  Iringa akisubiri matibabu baada ya  kupata  ajali mbaya ya  boda  boda wakati akiwa kwenye msafara  wa waziri  mkuu mstaafu  Edward  LOwassa leo mjini Iringa
Hivi  ndivyo  muuguzi  Teresia Mapiu  alivyojeruhiwa katika ajali  hiyo mbaya
mmoja kati ya madereva  boda
  boda  kushoto akiwa na muuguzi 
 wa Hospitali ya  rufaa ya mkoa  wa Iringa  wakimsaidia  dereva  boda  boda Japheth Aser aliyejeruhiwa katika  ajali ya  boda boda iliyotokea wakati  wa msafara wa  LOwassa
Mashuhuda  wakishuhudia ajali  hiyo
 mbaya kwa  kuitazama piki piki 
ikiwa katika mtaro  eneo la 
 Retco bar barabara  ya Iringa -Dodoma mjini Iringa 
 PICHA ZOTE NA FRANCIS GODWIN
 MZEE WA MATUKIO DAIMA

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa