Home » » Wakazi Wa Iringa, Waendelea Kutoa Maoni Kuhusu Katiba Mpya

Wakazi Wa Iringa, Waendelea Kutoa Maoni Kuhusu Katiba Mpya


Heny Mkenja, akijaza fomu maalumu ya maoni ya katiba mpya 
Baadhi ya wakazi wa Iringa ,kata ya Mivinjeni wakifatilia maoni ya wenzao kwa makini
Christina Mgongolwa, mkazi wa kata ya mivinjeni amependekeza kwamba katika katiba mpya ijayo,somo la maarifa ya nyumbani lipewe mhimu wake
Picha na Mjegwa Blog

0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa