Home » » CHUO KIKUU CHA TUMAINI IRINGA WAPATA PIGO

CHUO KIKUU CHA TUMAINI IRINGA WAPATA PIGO


 Viongozi wa chuo pamoja na wanafunzi wakiwa katika gari kuupeleka mwili kuagwa chuoni hapo.
Chuo kikuu cha Tumaini Iringa chapata pigo kubwa baada ya kufariki mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika fani ya elimu ya sanaa.

Mwanafunzi huyo ameambuliwa kwa jina Emanueli Urbani ambaye kwa mujibu wa taarifa alikuwa akisumbuliwa na malaria na kupelekwa kwaajili ya matibabu katika hospitali ya mkoa wa Iringa ambapo ndipo umaui ulimpofika.

Mwili wa marehemu umesafirishwa kuelekea Tarakea Rombo  Kilimanjaro kwaajili ya maziko.

BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE. MTANDAO HUU UNATOA POLE KWA WANAFUNZI NA WAHADHIRI WOTE KATIKA CHUO KIKUU CHA TUMAINI IRINGA.
Chanzo: Francis Godwin


0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa