Hizi ni sehemu ya nyumba ambazo zimeipokea vyema taarifa ya kuhamia kwenye mfumo wa Digitali kuanzia januari 1,2013.ambapo wakazi wa nyumba hizi zilizopo eneo la Ilula,Mkoani Iringa wameamua kuanza tizi sasa kwa kuweka mambo sawa ki namna hii.
Hapa hata Majirani hawawezi cheza mbali.
kama kawa kama dawa,Digitali hoyeeeeee.......
0 comments:
Post a Comment