Home » » Mashamba Ya Miti Yanauzwa..!

Mashamba Ya Miti Yanauzwa..!

                       MASHAMBA MAWILI YA MITI YANAUZWA
Shamba la miti linauzwa, ekari 20. Lina miti yenye mwaka mmoja na nusu. Miti ni ya karatasi na mbao (Pines). Ekari moja inauzwa, 500,000/= (laki tano). Unaweza kununua ekari chache ama zote kwa pamoja. Shamba la jingine la miti, ekari 15. Lina miti yenye umri wa miaka 4 na miezi mitatu. Miti ni ya karatasi na mbao (Pines). Ekari moja inauzwa 1,000,000/= (milioni moja ). Unaweza kununua ekari chache ama zote kwa pamoja.
Mashamba yote yapo wilayani Mufindi mkoani Iringa, kilomita 75 kutoka Iringa mjini. Kwa mawasiliano piga 0719 127 901, Fresh Farms (T)

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa