Home » » Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012 lafana sana Mkoani Iringa jana

Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012 lafana sana Mkoani Iringa jana

 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joh Makini akitoa shoo kali kwa wanafunzi wa vyuo vitatu vya elimu ya juu vya mkoani Iringa (Tumaini,Mkwawa na Ruaha),waliofika kwenye Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya leo.
  Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joh Makini akiendelea kukamua kwenye Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,lililofanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya leo.
 Wachezaji wa Timu ya Chuo Kikuu cha Mkwawa Mkoani Morogoro,Wakishangilia ushindi wao Pamoja na Muwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Masumbuko Changwe (wa pili kulia mwenye fulana ya rangi ya chungwa) wakati wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,uliofanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya leo.
 Muwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Masumbuko Changwe (kulia) akikabidhi zawadi mbali mbali kwa washindi walioshiriki Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya leo.
 Muwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Masumbuko Changwe akizungumza na Washiriki wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya leo.
 Mtatibu wa Bonanza la Ufunguzi wa Mashindano ya Excel With Grand Malt 2012,Bw. Victor (kulia) amkaribisha Muwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Masumbuko Changwe kuzungumza na Wanafunzi hao kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa jioni ya leo.

Picha zote kwa hisani ya mtaa kwa mtaa Blog

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa