Home » » WAKUVANGA WA ORIJINO KOMEDY APAGAWISHWA NA ULANZI IRINGA

WAKUVANGA WA ORIJINO KOMEDY APAGAWISHWA NA ULANZI IRINGA


msanii wa Orijino Komedy Bw.Wakuvanga akinywa pombe ya asili ya mkoa wa Iringa Ulanzi eneo la Kihesa mjini Iringa jioni hii


Jasiri haachi asili ama mdharau kwao ni mtumwa ni vigumu sasa na wasanii kupenda pombe za asili kama hivi


Hapa wakipokezana lita ya ulanzi


Wakuvanga akiwa na wadau eneo la Kihesa mjini Iringa huku gari lao likiwa limechafuliwa kwa kuchorwa kwa tope


Wakuvanga akionyesha gari lake lilivyochafuliwa kwa tope

Picha na Francis Godwin 

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa