NA PAULINE KUYE -IRINGA
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoani Iringa Ritta Kabati
ameshangazwa na kitendo cha wajasiriamali wa nje ya mkoa huu kutumia
na kujinufaisha na bidhaa zinazotolewa na wajasiriamali wa mkoani
Iringa.

Hayo
ameyasema kwenye mkutano wa wajasiliamali wa kata ya Kihesa Manispaa ya
Iringa katika viwanja vya ofisi ya kata hiyo, na kusema kuwa tatizo la
hali hiyo linatokana na kutokuwa wawazi katika utendaji na kujitangaza.

Amewataka wajasiriamali
kuwa wazuri na kuwataka kujitokeza katika maadhimisho na si
kuwanufaisha wengine ambao wamekuwa wakija kuchukua na kuzaa kwa faida
yao .

Amesema
mkoa huu ni mkoa mmoja wapo wa kuweza kuwainua wajasiriamali kutokana
na kuwepo na utalii ambao tukiweza kujitangaza ni dhahiri hata wale
ambao wanawazunguka hawata weza kuja tena.

Aidha
amesema kwa mchakato huu wa katiba ni lazima kila mtu kujitokeza ili
kutoa ambayo yanaweza kurekebishwa katika Katiba mpya ikiwa ni
kuwajengea ujasiri na kujiami katika kujua sheria ya nchi.

0 comments:
Post a Comment