Mwanahabari Francis Godwin ambaye ni naibu katibu mkuu wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa (IPC) akitoa maelekezo mbele ya wanahabari mkoa wa Iringa (hawapo pichani) juu ya jitihada zilizofanywa na vyombo vya habari nchini katika kuibua habari za ukatili wa kijinsia wakati wa mafunzo ya siku moja yaliyoandaliwa na AFNET na kufanyika mjini Iringa
Picha na Francis Godwin
Picha na Francis Godwin
0 comments:
Post a Comment