Home » » JIWE IGELEKE KTK MANISPAA YA IRINGA NI UTALII ULIOSAULIKA

JIWE IGELEKE KTK MANISPAA YA IRINGA NI UTALII ULIOSAULIKA



Hili ni jiwe Igeleke ambalo ni sehemu ya utalii katika Manispaa ya Iringa ,isiyopewa kipaumbele na ofisi ya utalii


Hapa ukiwa juu ya jiwe hilo unaweza kutazama maeneo mbali mbali ya mji wa Iringa mbele kule ni sehemu ya uwanja wa ndege Nduli



Wageni kutoka nje ya Tanzania hupenda kutembelea eneo hili bila malipo kutokana na uongozi wa Manispaa ya Iringa kutoweka mkakati wa kutumia jiwe hili kutangaza utalii wa ndani


Ni eneo linalovutia zaidi ukiwa barabara kuu ya kuelekea uwanja wa Ndege nduli





Hapa ni chini ya jiwe Igeleke kunapendeza sana
Picha na Francis Godwin

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa