Mamia ya wakazi wa kijiji cha Kasanga Wilaya ya Mufindi na wakazi wa Iringa alikoishi marehemu , jana walishiriki mazishi ya Marehemu Beny Mkami mwipopo ambaye ni baba mzazi wa mwanahabari Lukelo Mkami Mwipopo .Marehemu Mkami alipata kulitumikia Taifa Kama mwalimu na baadae akawa Dean of Students kwenye Chuo Kikuu cha RUCO mjini IRINGA. Mungu Amlaze Mahali Pema Peponi, Amen.
Picha kwa hisani ya Francis Godwin.


0 comments:
Post a Comment