Home » » Afisa wa Polisi Iringa afariki dunia katika ajali

Afisa wa Polisi Iringa afariki dunia katika ajali

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


Afisa wa polisi mkoani Iringa aliyekuwa akifanya kazi ofisi ya kamanda wa Polisi sarehe

Msangi amepata ajali Mbaya na kufa Papo hapo asubuhi ya leo wilayani Mufindi akitokea mjini Iringa baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Suzuki lenye namba za usajili T 165 BMP kugongana USO kwa uso na gari jingine kwa sasa mwili wa askari huyo umepelekwa mjini Iringa

Picha kwa Hisani ya Francis Godwin

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa