Home » » PICHA MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE ALIPOTEMBELEA VIBANDA VYA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA, IRINGA

PICHA MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE ALIPOTEMBELEA VIBANDA VYA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA, IRINGA



 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Utamaduni Profesa Mwansoko wakati anawasili katika viwanja vya maonesho ya Wiki ya Vijana uwanja wa Mlandege, Iringa
 Rais Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni. Kushoto ni Mama Salma Kikwete na kulia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

 Mama Salma Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni
 Banda la Mwalimu Nyerere Foundation
 Katika banda la Mwalimu Nyerere Foundation
 Spika Anne Makinda akiongea na mmoja wa vijana kwenye banda lao
 Banda la bodi ya Filamu
 Rais Kikwete akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa na vijana

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa