Home » » NEWS ALERT: MOTO ULIOSIMAMISHA MSAFARA WA JK MSITU WA SAO HILL JANA WAZIMWA

NEWS ALERT: MOTO ULIOSIMAMISHA MSAFARA WA JK MSITU WA SAO HILL JANA WAZIMWA

 Msafara  wa rais Jakaya  Kikwete ukiwa  umesimama kwa muda eneo la  msitu wa  taifa  wa Sao Hill Mufindi  katika barabara kuu ya Iringa- Mbeya  kufuatia  moto mkubwa kuwaka katika msitu huo mchana wa jana  
 ...............................................................
Wananchi na askari  wa JKT Mafinga  wilayani Mufindi wamefanikiwa kuuzima  moto  mkubwa  uliozuka  jana   katika msitu  wa Taifa wa Sao Hill Mufindi na kupelekea msafara wa rais Jakaya  Kikwete kukwama kupita kwa  muda .
Moto  huo ambao  chanzo chake  hadi  sasa  bado kufahamika  ulizimwa jioni ya jana. 

CHANZO FRANCIS GODWIN

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa