Home » » MBIO ZA MWENGE WA UHURU ZAMALIZIKA ,MKOA WA IRINGA WAKABIDHI TAIFANI ASUBUHI YA LEO

MBIO ZA MWENGE WA UHURU ZAMALIZIKA ,MKOA WA IRINGA WAKABIDHI TAIFANI ASUBUHI YA LEO


a_72ba5.jpg
Mwenge wa uhuru ukiwasili katika uwanja wa kilele cha mbio za mwenge kitaifa uwanja wa Samora ukitokea viwanja vya mkesha Mwembetogwa ambako ulikesha kwa Halmash
auri ya Manispaa ya Iringa
b_19da2.jpg
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma kulia akipokea mwenge kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Iringa Dr Leticia Warioba baada ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kumaliza mbio hizo kwa kuzindua miradi 8 yenye thamani ya Tsh milioni 940.2
c_21d1c.jpg
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Ishengoma akisoma taarifa ya miradi iliyopitiwa na mbio za mwenge mwaka 2013
d_3d220.jpg
kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Ramadhan Mungi kulia akimpongeza mkuu wa FFU mkoa wa Iringa S.A Mnunka kwa kazi nzuri ya kukimbiza mwenge vizuri mkoa wa Iringa(P.T)

0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa