Home »
» PICHA: KOTI LA WAZIRI WA FEDHA LAPEWA HESHIMA KAMA WAZIRI LAPEPERUSHIWA BENDERA YA TAIFA
PICHA: KOTI LA WAZIRI WA FEDHA LAPEWA HESHIMA KAMA WAZIRI LAPEPERUSHIWA BENDERA YA TAIFA
PICHA ZOTE NA FRANCIS GODWIN
|
Hili
ni gari la waziri wa fedha na uchumi Dr Wiliam Mgimwa
likipita
maeneo ya posta mjini Iringa jana
majira ya saa 4 asubuhi huku mbele
katika
kiti cha waziri likiwa limewekwa koti na dereva
kupeperusha
bendera kiasi cha askari wa
usalama barabarani kulipigia saruti koti
hilo |
0 comments:
Post a Comment