Madiwani
wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Iringa wakimkumbuka diwani mwenzao aliyefariki kikao ambacho kilihudhuriwa na diwani wa kata ya Ibumi Jeremia Ikanyagwa ambae leo pia amefariki dunia na kufanya idadi ya madiwani watatu hadi sasa kufariki katika wilaya hiyo kwa kipindi cha miaka hii mitatu . KWA HISANI YA FRANCIS GODWIN |
Home »
» NEWS ALERT: DIWANI MWINGINE WA CCM KILOLO AFARIKI DUNIA
0 comments:
Post a Comment