| Hapa akiokolewa na polisi |
| Askari polisi mjini Iringa wakimuokoa mtuhumiwa wa mauwaji ya dereva boda boda mjini Iringa |
| Hapa akiingizwa katika gari la polisi kunusuru kuuwawa kwa kuchomwa moto |
| Wananchi wakishuhudia tukio hilo leo |
| Polisi wakimuokoa mtuhumiwa wa mauwaji ya dereva boda boda leo mjini Iringa |
| Gari la polisi ambalo limembeba mtuhumiwa wa mauwaji ya dereva boda boda |
| Msafara wa madereva boda boda wakilifukuza gari la polisi kwa nyuma |
![]() | |
| Mwili wa marehemu Edga Lalika anayedaiwa kuuwawa na mtuhumiwa huyo juu aliyekamatwa |

0 comments:
Post a Comment