BASI LA ABOOD LIKIWA LIMEPINDUKA
ABIRIA WAKIWA WAMETOKA NJE BAADA YA AJALI KUTOKEA
HIVI NDIVYO BASI LA ABOOD LILIVYO PINDUKA
******
Basi la Abiria la Abood lililokuwa linatokea Dar es salaam kuelekea Mbeya Limepata Ajali Jioni Hii eneo la Msitu wa Sao Hill Mafinga Mkoani Iringa, Chanzo cha ajali hiyo hakija Fahamika mara moja, Na abiria wote waliokuwemo katika Basi hilo Wamenusurika.
1 comments:
mbona hamna tarehe?tutajua ni ya lini?....polen sana ndungu
Post a Comment