Home » » TAZAMA MBUNGE WA CHADEMA PETER MSIGWA ALIVYOFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA IRINGA.

TAZAMA MBUNGE WA CHADEMA PETER MSIGWA ALIVYOFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA IRINGA.

Picha tatu tofauti zikimuonyesha Mbunge wa Chadema jimbo la Iringa mjini Peter Msigwa (Mwenye nguo Nyeusi) akitelemka katika defender la polisi huku aki
wa chini ya ulinzi mkali wakati akiwasiri katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Iringa leo.Baadhi ya wafusi wa chama hicho wakiteremka katika kalandinga la Polisi.Kada wa Chadema Frank Mwaisumbe akiingia na viongozi wengine katika viwanja vya mahakama hiyo huku wafuasi wao wakizuiwa kutoingia katika eneo la mahakama.Sehemu ya umati wakazi wa Manispaa ya Iringa na vitongoji vyake wakiwa nje ya mahakama hiyo wakati wakifuatia mwenendo wa shutuma inayomkali mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema.Gari lililombeba mbunge wa jimbo la Chadema wakati akifikishwa mahakamani.

 PICHA NA JUMA MTANDA

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa