Home »
» SEHEMU YA BARABARA YA IRINGA - DODOMA ITAKAYOWEKWA JIWE
SEHEMU YA BARABARA YA IRINGA - DODOMA ITAKAYOWEKWA JIWE
Hapa
ni eneo la simani wilaya ya Iringa vijijini ujenzi uiendelea na hii
ni kazi nzuri a Tanroads mkoa wa Iringa katika usimamizi barabara hii
itakayofungua fursa kwa mikoa ya kusini itagharimu zaidi ya Tsh
bilioni 222 na leo majira ya saa 3 asubuhi itawekwa jiwe la msingi na
Rais Jakaya Kikwete
0 comments:
Post a Comment