Wananchi wakiwa katika dirisha la kuchukulia fomu huku utaratibu ukivunjwa kutokana na kutokuwa na usimamizi mzuri.
Foleni kubwa ya watu zaidi ya 300 wengi wao wakiwa wamefika kuanzia saa 12 asubuhi huku huduma hiyo ikifunguliwa saa tatu.
Twende tuu hapa mpaka kieleweke wengi wakazi hawa wametoka katika maeneo mbalimbali ya manispaa ya Iringa kwaajili ya kuchukua fomu kupata viwanja. Kila fomu yatolewa kwa shilingi Tsh 10,000/=
Mjengwa Blog
Mjengwa Blog



0 comments:
Post a Comment