| Mtoto Juliana akiwa amelazwa katika hosipitali ya Taifa jijini Dar es Salaam ambako amepelekwa kutokana na jitihada za mtandao huu na wadau mbali mbali wanaoendelea kuchangia |
| Mtoto Juliana akisaidiwa na bibi yake |
Afya ya mtotoJuliana Mwinuka mkazi wa kijiji Cha Mavanga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe aliyelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu .
Haya ndio maendeleo ya mtoto Juliana ambayo wewe mdau uliyejitokeza kuchangia umemfanya afike hapa leo , wadau waliojitokeza kuchangia kwa leo ni Richard Kisinga (Tsh 5,000),Wakala Gypson Chaula (Tsh.20,000)Abel Chitojo na (Tsh.10,0000

Mtandao huu na ule wa www.francisgodwin.blogspot.com unaendelea kuwapongeza wote wanaoendelea kuguswa na kuungana na wadau wengine kumchangia fedha za matibabu ,mtoto Juliana kama anavyoonekana akiwa ameunga uso wake kwa moto ni yatima anahitaji msaada wako ili kunusuru maisha yake waweza kutuma mchango wako kwa njia ya M-PESA katika namba hii 0754 026 299 au Tigo Pesa 0712 750199 namba hizi ni za mmiliki wa mtandao huu Bw Francis Godwin Nawaomba tuungane kufanikisha kuokoa maisha ya mtoto Juliana Mwinuka na Mungu atatuongezea zaidi
0 comments:
Post a Comment