Afya
ya mtotoJuliana inuka mkazi wa kijiji Cha Mavanga wilaya ya Ludewa
mkoani Njombe aliyelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu
zaidi ni mbaya kwa sasa kula wala kunywa anatumia mipira maalum.
Hata
hizo inadaiwa kuwa jitihada zinazofanywa na madaktari na wauguzi wa
Hospitali hiyo ya Muhimbili kwa mtoto Juliana ni kubwa sana ambazo
zinatia moyo kwa wauguzi wa mtoto huyo waliopo hapo.
Hawa
ni wadau waliojitokeza kuchangia kwa siku mbli hizi ni pamoja na Frank
Mchomvu (Tsh 11,000) na Atuboneksye Massapa (Tsh.20,000)mtandao WA FRANCIS GODWIN unaendelea
kuwashukuru wote wanaoendelea kutoa michango yao kunusuru uhai wa mtoto
Juliana ambaye ni yatima
,
Mtandao wa Francis Godwin unaendelea kuwapongeza wote wanaoendelea
kuguswa na kuungana na wadau wengine kumchangia fedha za matibabu.
Mtoto
Juliana kama anavyoonekana akiwa ameungua uso wake kwa moto ni yatima
anahitaji msaada wako ili kunusuru maisha yake waweza kutuma mchango
wako kwa njia ya M-PESA katika namba hii 0754 026 299 au Tigo Pesa 0712
750199 namba hizi ni za Bw. Francis Godwin
Nawaomba tuungane kufanikisha kuokoa maisha ya mtoto Juliana Mwinuka na
Mungu atatuongezea zaidi
0 comments:
Post a Comment