Muda Mchache baada ya malori hayo kugongana
Blog za Mikoa Tanzania tumepokea taarifa muda huu kuwa kuna malori mawili ya mizigo yamegongana muda huu uso kwa uso eneo la Iyovi Iringa. Ajali hiyo imetokea wakati Lori moja likiwa linapanda mlima na Jengine linashuka.. Mpaka sasa hatujajua kama kuna watu wameumia au kupoteza maisha katika ajali hiyo.. Taarifa zaidi itakuja. Picha na mdau mkubwa wa Blogs za Mikoa
0 comments:
Post a Comment