Mbunge wa Mufindi Kusini Bw. Mendrad Kigola akingaliwa na Muhuguzi wa Hospitali ya Mkoa wa Iringa Bi. Oliva Msimbwa mara baada ya kupata ajali eneo la Ieme mkoani humo jana. Hali ya Mbunge huyo inaendelea vizuri na anatarajiwa kuruhusiwa wakati wowote ule. Picha na Super D.
0 comments:
Post a Comment