Home » » MASHINDANO YA SAFARI LAGAR POOLTABLE KWA VYUO VYA ELIMU YA JUU YANAENDELEA LEO MKOANI IRINGA

MASHINDANO YA SAFARI LAGAR POOLTABLE KWA VYUO VYA ELIMU YA JUU YANAENDELEA LEO MKOANI IRINGA


Mchezaji wa Mchezo wa Pool kutoka Timu ya Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO) Mkoani Iringa ,Alen Masebo akijitayarisha kupiga mpira wakati wa mashindano ya mchezo huo kwa Vyuo vya Elimu ya Juu yanayoendelea hivi sasa katika vyuo mbali mbali nchini.Mashindano haya yanadhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari Lager.

Mchezaji wa Mchezo wa Pool kutoka Timu ya Chuo Kikuu cha Tumaini Mkoani Iringa,Raphael John akipiga mpira wakati wa mashindano ya mchezo huo kwa Vyuo vya Elimu ya Juu yanayoendelea hivi sasa katika vyuo mbali mbali nchini.Mashindano haya yanadhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari Lager.
Baadhi ya Viongozi wa mchezo wa Pool Mkoa wa Iringa pamoja na wahamasishaji wa mchezo huo katika Mkoa huo wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Naibu Meya wa Mkoa wa Iringa,Mh. Gervas Ndaki (kulia) akisalimiana na washiriki wa mchezo wa pool kabla ya kuanza kwa mashindano hayo yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari Lager.
Picha kwa hisani ya Mtaa kwa mataa Blog

0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa