Rais Kikwete akiwapungia mkono watu mbalimbali wakiwemo viongozi mbalimbali wa Serikali mkoa wa Iringa (hawapo pichani) waliofika kumpokea mara baada ya kuwasili leo mchana kwenye uwanja wa ndege wa Nduli.Rais Kikwete amewasili leo kwa ajili ya kufunga maadhimisho ya wiki ya maji Kitaifa iyanayofanyika katika uwanja wa Samora mkoani Iringa
Rais Kikwete akivalishwa skafu na vijana wa skauti,shoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr Christina Ishengoma
Rais Kikwete akisalimiana na viongozi wa kamati na Ulinzi
Rais Kikwete akisalimiana na Kamanda wa UVCCM mkoa wa Iringa ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya ASAS, Salim ‘Asas’ Abri muda mfupi baada ya kuwasili mjini Iringa.

.jpg)



0 comments:
Post a Comment