Home » » kilele cha maadhimisho wiki ya maji mkoani Iringa leo

kilele cha maadhimisho wiki ya maji mkoani Iringa leo


 Rais Kikwete akizungumza hivi sasa kwenye Uwanja wa Samora Mkoani Iringa kwenye kilele cha maadhimisho ya wiki ya maji Kitaifa,ambapo Rais Kikwete jana amezindua miradi mikubwa kadhaa ya maji.Maadhimisho hayo yamedhaminiwa kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL).ITV na wahisani wengine kutoka nchi za umoja wa Ulaya (EU).
Mkuu wa Mkoa wa Iringa,Dk Christina Ishengoma akisoma hotuba fupi ya Rais Kikwete ambaye ndiye mgeni rasmi katika maadhimisho hayo yanayoendelea hivi sasa ndani ya Uwanja wa Samora,sambamba na kuwaalika wageni mablimbali 
Rais Jakaya Kikwete akiwasili mapema leo ndani ya uwanja wa Samora mkoani Iringa,kwa ajili ya kufunga maadhimisho ya wiki ya maji Kitaifa yanayoendelea hivi sasa hapa uwanjani,Maadhimisho hayo yamedhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti (SBL),ITV,pamoja na nchi wanachama wa Ulaya(EU).
 Kikosi cha JKT-Mafinga wakitumbuiza uwanjani hapa hivi sasa kwenye k ilele cha maadhimisho ya wiki ya maji Kitaifa mkoani Iringa
Mpemba Asilia akisoma shairi lake mbele ya Rais Jaka Kikwete (haonekani pichani) mapema mchana huu wakati kilele cha maadhimisho hayo yakiendelea.
 Kikundi cha JKT-Mafinga kikiingia uwanjani kwa ngoma yenye asili ya Kizanzibar iitwayo Kibati.
 Kibati kutoka Zanzibar kimechanganya sasa.
Kwa Tukio zaidi Bofya hapa : Jiachie Blog

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa