
Mmoja wa washiriki wa maonesho wa choo salama akionesha ni namna gani unaweza ukaepuka magonjwa mbalimbali ya milipuko,ikiwemo kipindu kipindu,kwamba ukishamaliza shughuli yako kule chooni ni vyema ukanawa mikono yako na sabuni.
Mfano choo cha kisasa kikiwa na mifuniko kwa ajili ya kuepuka kuwa chanzo cha milipuko ya magonjwa ikiwemo kipindu pindu.
Katika maadhimisho hayo,pia kulikuwepo na maonyesho ya matumizi ya choo safi na salama,ambapo ilielezwa kuwa choo safi ni kile chenye mfuniko,kinachoweza kuzuia inzi kuingia na kutoka na kusababisha magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindu kipindu.
Injinia P.Tumbo kutoka Chuo cha Maji jijini Dar akifafanua namna gani watu wanaweza kukusanya maji ya mvua kwa kutumia mapaa tulionayo kwenye nyumba zetu,badala ya kuacha maji yapotee bure.
Kwa habari zaidi Ingia hapa Jiachie Blog



0 comments:
Post a Comment