washiriki wa warsha hiyo kutoka kushoto Bw Ally Hengo ,Lulu George na Haji Nassor Mohamed wakiwa darasani |
Mwanahabari Lulu George na Haji Nassor Mohamed wakifuatilia warsha hiyo wakati mkufunzi akitoa mada leo |
Wakufunzi wakiwa Kajubi Kulia na Deo wakifuatilia mjadala |
Wanahabari Nkungu kutoka Singida na Zacharia (kulia) kutoka Manyara wakiwa katika warsha hiyo
Mwanahabari wa gazeti la Nipashe Tanga Bi Lulu George akifuatilia mada mbali mbali wakati wa warsha ya uanzishwaji wa daftari la uvunjifu wa uhuru wa vyombo vya habari nchini
Mwezeshaji Deo Bwile kutoka TRHDC akiwasilisha mada mbele ya wanahabari leo |
Wanahabari wakifuatilia mada kutoka kwa mwezeshaji Deo Bwile kutoka TRHDC |
Wawezeshaji wa warsha ya siku mbili kwa wanahabari wakibadilishana mawazo katika ukumbi wa Tanga Beach Hotel |
Washiriki wakijiandikisha kwa kuanza warsha ya siku mbili |
Mwanahabari Abby Nkungu kutoka Singida akiteta na mmiliki wa mtandao wa matukio daima Francis Godwin kulia kabla ya kuanza mafunzo hayo |
Mwandishi wa Star Tv Manyara Bw Zacharia Mtingandi akiteta jambo na Bw Nkungu kushoto |
Katibu mtendaji wa baraza la habari Tanzania (MCT) Kajubi Mukajanga akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wanahabari nchini mjini Tanga leo |
Mwanahabari Mercy Sekabogo akiwa katika mafunzo hayo |
Mwanahabari akiperuzi taarifa mbali mbali kabla ya kuanza kwa warsha hiyo PICHA NA MATUKIODAIMABLOG |
0 comments:
Post a Comment