Home
skip to main
|
skip to sidebar
Home
» » KINANA ZIARANI IRINGA KWA SIKU SITA
KINANA ZIARANI IRINGA KWA SIKU SITA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili mkoani Iringa kuanza ziara ya siku sita ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo ikiwa ni pamoja na kukagua uhai wa chama. Katika ziara hiyo Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi, Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu
Jesca Msambatavangu
na katikati ni Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Hassan Mtenga.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-IRINGA)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozanana viongozi wa CCM mkoa wa Iringa Kulia
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu
Jesca Msambatavangu
na kushoto ni
Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Hassan Mtenga.
mara baada ya kuwasili mkoani Iringa asubuhi hii.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
salimiana na Mbunge wa jimbo la Isimani Mh. William Lukuvi mara baada ya kuwasili mkoani Iringa, kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi na kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Hassan Mtenga.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
salimiana na Mbunge wa jimbo la Kilolo Mh.
Prof. Peter Msola mara baada ya kuwasili mkoani Iringa asubuhi hii tayari kwa kuendelea na ziara yake mkoani humo.
Mbunge wa jimbo la Isimani Mh. William Lukuvi kushoto akiwa na Kamanda wa vijana mkoa wa Iringa Ndugu
Salim Abri Asas
na mbunge wa viti maalum Iringa Mh. Ritha Kabati.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
salimiana na wananchi mbalimbali mara baada ya kuwasili mkoani Iringa leo asubuhi.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu
Jesca Msambatavangu
akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman kinana ili awasalimie wananchi, kutoka kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi na Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Hassan Mtenga.
Mmoja wa wahamasishaji akipiga kifaa cha Muziki cha kiasili mara baada ya katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kuwasili mkoani Iringa.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi
akiwasilimia wananchi huku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza mara baada ya kuwasili mkoani Iringa mkulia ni
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu
Jesca Msambatavangu
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
akikata utepe kuzindua jengo jipya la oisi ya CCM wilaya ya Iringa lililokarabatiwa na
Kamanda wa vijana mkoa wa Iringa Ndugu
Salim Abri Asas
pamoja na Mbunge wa jimbo la Isimani Mh. William Lukuvi.
Mbunge wa jimbo la Isimani Mh. William Lukuvi,
Kamanda wa vijana mkoa wa Iringa Ndugu
Salim Abri Asas
na mkuu wa mkoa wa Iringa Dk Christine Ishengoma wakimsikiliza Katinu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana hayupo pichani ,wakati akitoa shukurani zake kwa waliojitolea kukarabati ofisi hiyo
Katinu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
akimshukuru
Kamanda wa vijana mkoa wa Iringa Ndugu
Salim Abri Asas
ambaye amejitolea kukarabati ofisi ya CCM mkoa wa Iringa.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Previous post
Previous post
March (4)
October (1)
September (1)
August (1)
July (13)
March (3)
February (3)
January (9)
December (2)
November (8)
October (9)
September (8)
August (15)
July (10)
June (7)
May (2)
April (2)
March (7)
February (8)
January (11)
December (9)
November (10)
October (9)
September (7)
August (12)
July (7)
June (8)
May (7)
April (4)
March (8)
February (16)
January (9)
December (4)
November (4)
October (2)
September (8)
August (11)
July (10)
June (20)
May (9)
April (10)
March (9)
February (8)
January (8)
December (8)
November (11)
October (9)
September (10)
August (11)
July (16)
June (20)
May (9)
April (22)
March (30)
February (39)
January (37)
December (18)
November (12)
October (27)
September (19)
August (5)
July (15)
June (7)
May (11)
April (7)
March (2)
February (3)
January (18)
December (14)
November (17)
October (38)
September (47)
August (35)
July (18)
June (11)
May (15)
April (18)
March (16)
Popular Posts
TASAF YAMUWEZESHA MNUFAIKA MWENYE UONI HAFIFU KULETA BIDHAA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE MBEYA 2024.
Na Sima Bingileki Afisa Habari Mafinga Tc “ Kwa kweli tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita ya Mama Samia Suluhu Hassan kipitia TASAF tume...
KUTOKA JIMBO LA MAFINGA: MBUNGE WA JIMBO LA MAFINGA AKABIDHI MITUNGI 60 YA GESI KWA WATENDAJI WA KATA
“Lengo la kugawa nishati hii safi ya kupikia ni kuunga mkono juhudi za Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu H...
KUTOKA MUFINDI: MKUU WA WILAYA YA MUFINDI DKT LINDA SELEKWA AZINDUA ZOEZI LA UGAWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI HALMASHAURI YA MJI MAFINGA
Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt Linda Selekwa amezindua zoezi la ugawaji wa mikopo ya asilimia kumi kwa vikundi 62 vya wanawake ,v...
TAHADHARI KWA MADEREVA KONA HIZI ZA IYOVI NI KALI ZAIDI EPUSHA MAISHA YA ABIRIA CHUKUA TAHADHARI DHIDI YA AJALI
wewe ni dereva wa basi la abiria ama gari binafsi ?hebu chukua hatua ya kupunguza ajali leo kwa kujihadhari na kona hizi na...
ELIMU YA KUZUIA MOTO YATOLEWA KWA WAJUMBE SERIKALI YA KIJIJI CHA RUNGEMBA- IRINGA
Elimu ya kuzuia Moto imetolewa kwa Serikali ya Kijiji Cha Rungemba lengo likiwa ni kutoa tahadhari ya moto hasa katika kipindi hiki cha Kian...
USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Bi. Fidelica Myovella ameendelea na kusimamia Miradi ya Maendeleo kwa kuhakikisha inakamilika kwa U...
USAJILI WA WAKULIMA KIDIJITALI WAFIKIA ASILIMIA 64.7
Na Alex Nelson Malanga Afisa Habari----Mji Mbinga Mbinga. Usajili wa wakulima kidijitali katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga umefikia asili...
JITOKEZENI KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI KUPIGIA KURA
“ Hakikisheni hizi siku 4 zilizobaki za Uandikishaji Wapiga kura kwaajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wananchi wanajitokeza kwa wingi i...
WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA ATAKA UJENZI WA HOSPITALI YA MJI MAFINGA UKAMILIKE KWA WAKATI
“TUNATAKA NDUGU ZETU AMBAO NI WAGONJWA MAHUTUTI KUTOKA MAFINGA WAHUDUMIWE HAPA HAPA KATIKA HOSPITALI YA MJI MAFINGA KWENY...
TUWE MAKINI NA TAARIFA TUNAZOZITOA - MKURUGENZI HALMASHAURI YA MJI MAFINGA
“Mwaka huu 2024 ni mwaka wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hivyo tuwe makini na taarifa tunazozitoa ofisini kwetu zisiende kutumika kwenye m...
Join This Blog
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012.
Iringa Yetu
- All Rights Reserved
Designed by
Blogs za Mikoa
Proudly powered by
Blogs za Mikoa
0 comments:
Post a Comment