Home » » MWENGE WA UHURU WAWASILI MKOANI IRINGA KUANZA MBIO ZAKE

MWENGE WA UHURU WAWASILI MKOANI IRINGA KUANZA MBIO ZAKE

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

MKUU WA MKOA WA IRINGA DK CHRISTINE ISHENGOMA AKIZUNGUMZA BAADA YA KUUPOKEA MWENGE KUTOKA MKOA WA MOROGORO
MKUU WA WILAYA YA KILOLO, GERALD GUNINITA AKIKABIDHI RISALA YA UTII KWA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA.. 
MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDERA AKIZUNGUMZA KABLA YA KUMKABIDHI MWENGE MKUU WAMKOA WA IRINGA, DK CHRISTINE ISHENGOMA WANAFUNZI WAKIUGUSA MWENGE KWA SHAUKU 
MWENGE WA UHURU UMEANZA MBIO ZAKE MKOANI IRINGA, UKIANZIA WILAYA YA KILOLO. ZAIDI YA MIRADI 42 ITAZINDULIWA NA MWENGE HUO KABLA YA KUKABIDHIWA MKOANI NJOMBE JUNE 28. 


BY FRANK KIBIKI-KILOLO

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa