Mkurugenzi
wa Shirika la hifadhi za taifa TANAPA Allan Kijazi akijibu baadhi ya
maswali kutoka kwa washiriki wa mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari
na TANAPA unaofanyika kwenye ukumbi wa Siasa na Kilimo mjini Iringa
ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huo, Maada mbalimbali zinawasilishwa
leo ikiwa ni pamoja na Masuala ya Utalii ndani ya hifadhi, Miradi ya
ujirani mwema na Ulinzi katika mbuga.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA
FULLSHANGWE-IRINGA.
Waziri
Kivuli wa Wizara ya Maliasili na Mubnge wa jimbo la Iringa mjini
Mchunagji Peter Msigwa akitoa mada katika mkutano huo wakati wa
majadiliano kuhusu utalii katika hifadhi za TANAPA kulia ni Mkurugenzi
wa Tanapa na Kushoto ni Dr. Ayoub Rioba na mstari wa nyuma kulia ni
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi Mzingira na Maliasili Ndugu James
Lembeli na kushoto ni Meneja uhusiano wa TANAPA Bw. Pascal Shelutete.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi Mzingira na Maliasili Ndugu James Lembeli
akizungumza katika mkutano huo unaoendelea mjini Iringa leo.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi Mzingira na Maliasili Ndugu James Lembeli
akisisitiza jambo wakati akichangia mada katika mkutano huo unaoendelea
leo.
Mhariri wa gazeti la Tanzania Daima Ndugu Charles Misango akiuliza swali katika mkutano huo.
Dr. Ayoub Rioba akiendesha majadiliano katika mkutano huo.
Mwandishi wa habari Antonio Nugas kutoka Radio Clouds kushoto akiwa pamoja na washiriki wengine katika mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia mada mbalimbali za mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia mada mbalimbali za mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia mada mbalimbali za mkutano huo.
Picha na Mo Blog
0 comments:
Post a Comment