Huyu ndie mtuhumiwa wa mauawaji ya Mwangosi (kulia)
.............................................................................
MTUHUMIWA wa mauwaji ya aliyekuwa
mwandishi wa habari wa kituo cha Chanel Ten mkoani Iringa marehemu Daudi
Mwangosi askari wa FFU mwenye namba G2573 Pasificus Cleophace Simoni
(23) ambae wiki mbili zilizopita alikwama kufikishwa mahakamani
kutokana kuwa ni mgonjwa sasa kufikishwa tena mahakamani May 9
Chanzo: Francis Godwin
0 comments:
Post a Comment