Home » » HIVI NI ELIMU BORA AMA BORA ELIMU?

HIVI NI ELIMU BORA AMA BORA ELIMU?


Hili ni darasa lenye nafuu kubwa katika  shule ya msingi Chanjale Ludewa mkoa  wa Njombe
Hiki ni choo cha  kisasa cha  wanafunzi ambacho kinatumika na  wanafunzi wa  wavulana na wasichana shule ya msingi Chanjale Ludewa
Hili pia ni darasa la shule ya Msingi Chanjale Ludewa na hapa ujenzi  wake umekamilika na limekuwa likitumika kwa zaidi ya miaka 7 sasa ,Chini ni ubao  wa darasa la tano katika shule hiyo ,sasa hebu  nikuulize  wewe  waziri  wa elimu na mafunzo ya ufundi Dkt Shukru Kawambwa  hivi umepata  kutembelea shule hizi za pembezoni ama uwaziri  wako ni wa mjini pekee pia  watanzania tujiulize hivi hapa ni elimu bora ama bora  elimu?

Picha na Francis Godwin

0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa