Home » » BALOZI KAGASHEKI AJITOSA KUMALIZA MGOGORO WA ARDHI USOKAMI- MUFINDI

BALOZI KAGASHEKI AJITOSA KUMALIZA MGOGORO WA ARDHI USOKAMI- MUFINDI


Kijiji cha Ugwao Tarafa ya Ubwengu kilichovamia zaid ya hekari 36 za msitu wa Sao Hill
Waziri wa mali asili na Utalii Balozi Hamisi Kagasheki akitazama ramani inayoonesha sehemu ya msitu iliyovamiwa na wananchi.
Balozi Kagasheki akisisitiza jambo walipofika katika kijiji cha Ugwao katikati ni mkuu wa Wilaya ya Mufindi Evarista Kalalu
Mtaalamu wa Ramani akitoa maelezo kwa waziri Kagasheki
Baadhi ya makazi ya watu waliovamia eneo la msitu wa Sao Hill wilayani Mufindi.

PICHA NA FRANCIS GODWIN

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa