Home » » Mvua Yaleta Neema Ya Senene Iringa

Mvua Yaleta Neema Ya Senene Iringa


SENENE ZAANGUKA KWA WINGI IRINGA ,WALIMU NA WANAFUNZI WASHINDWA KUINGIA MADARASANI WAOKOTA SENENE

Na: Francis Godwin-Iringa.  Mvua  kubwa  iliyonyesha usiku  wa  leo katika  mji  wa Iringa  imeshusha neema kwa wakazi wa  mji wa Iringa ambao ni wapenzi  wa  Senene. 
Uchunguzi  uliofanywa katika  shule mbali mbali  za Manispaa ya Iringa asubuhi ya leo umebaini  kuwa idadi kubwa ya  wanafunzi na  walimu  wakia katika mashamba ya  shule  zao na nje ya  vyumba vya madarasa pamoja na  wanafunzi wao wakifukuza senene.

0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa