Home » » Huyu Ndiye Askari Polisi Anayetuhumiwa Kumuua Mwangosi

Huyu Ndiye Askari Polisi Anayetuhumiwa Kumuua Mwangosi

:

Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Pacificus Cleophase Simon mwenye namba G2573 ambaye anadaiwa kumuua Mwandishi wa Habari, Daudi Mwangosi katika kijiji cha Nyololo, Mufindi akiwa amekaa kwenye benchi muda mfupi kabla ya kula kiapo chake kwa Mlinzi wa Amani kabla hajafikishwa mahakamani. 

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa