Home » » ASAS ASAIDIA UJENZI WA MABWENI KILOLO

ASAS ASAIDIA UJENZI WA MABWENI KILOLO



Mfanyabiashara  maarufu  mkoani Iringa na kada wa chama cha mapinduzi (CCM) Salim Abri Asas ( wa pili  kulia) akikabidhi msaada wa  mifuko 200 ya saruji yenye thamani ya zaidi ya Tsh. milioni 3 .2 kwa mkuu wa wilaya ya Kilolo Bw Gerald Guninita hivi karibuni ofisini kwake,  wanaoshuhudia ni mwenyekiti  wa Halmashauri ya Kilolo Joseph Mhumba ,kushoto na mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilolo Momahend Gwalima
wadau  wa elimu  wilaya ya  Kilolo  wakiwa na mfanyabiashara  Salim Asas,picha kwa hisani ya mdau Francis Godwin-Iringa.

0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa