Home » » WANAHABARI IRINGA WAGOMA KUPOKEA RIPOTI YA AWALI, YA MKUU WA UPELELEZI MAKOSA YA JINAI KUFATIA KIFO CHA DAUDI MWANGOSI

WANAHABARI IRINGA WAGOMA KUPOKEA RIPOTI YA AWALI, YA MKUU WA UPELELEZI MAKOSA YA JINAI KUFATIA KIFO CHA DAUDI MWANGOSI

                    Wanahabari wa Iringa Wakitoka nje ya ofisi
Wanahabari wa Iringa mchana wa leo wamegoma kupokea taarifa ya awali ya uchunguzi wa kifo cha Mwandishi Daudi Mwangosi, aliyeuawa juzi jumapili katika mkutano wa ndani wa Chadema uliokuwa ufanyike katika kijiji cha Nyololo Iringa. Mkuu huyo alikataa shariti la wandishi la kumtaka atoe taarifa hiyo bila kuwepo kwa polisi yeyote katika mkutano huo. Kitendo hicho cha mkuu huyo kukataa shariti  la wanahabari kikapelekea waandishi kutoka nje ya ukumbi huo.Hivyo zoezi hilo kushindikana.


Picha na habari , Said Ng'amilo, Mjengwablog-Iringa.

0 comments:

 
Powered by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa