Baadhi ya wanahabari wakitoka mahakamani
Askari  anayetuhumiwa kumuua Daudi Mwangosi leo amefikishwa katika Mahakama ya  wilaya ya mkoa wa Iringa na kusomewa mashitakata yake. Huku akiwa chini  ya ulinzi mkali ambao ulifanya wanahabari waliofika mahakamani kujitahid  kupata picha kwa ugumu.
Akisoma  mashtaka mbele ya hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya Daines  lymo mwendesha mashtaka ameeleza kuwa mtuhumiwa anaitwa Pacificus Cleophase  Simon (23)
Kutoka Francisgodwinblog 
 
 
 
.jpeg) 
 
.jpeg) 
 
 
 
 
.jpeg) 
0 comments:
Post a Comment