Home » » MTOTO JULIANA BADO ANAHITAJI MSAADA WAKO,AHAMISHWA CCBRT KWENDA MUHIMBILI

MTOTO JULIANA BADO ANAHITAJI MSAADA WAKO,AHAMISHWA CCBRT KWENDA MUHIMBILI


Mtoto Juliana Mwinuka mkazi wa kijiji Cha Mavanga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya CCBRT wodi la wagonjwa wa Macho,sasa amehamishiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu  zaidi .
 mtandao huu www.francisgodwin.blogspot.com unaendelea kuwashukuru wote wanaoendelea kutoa michango yao kunusuru uhai wa mtoto Juliana ambaye ni yatima





Mtandao huu unaendelea kuwapongeza wote wanaoendelea kuguswa na kuungana na wadau wengine kumchangia fedha za matibabu ,mtoto Juliana kama anavyoonekana akiwa ameunga uso wake kwa moto ni yatima anahitaji msaada wako ili kunusuru maisha yake waweza kutuma mchango wako kwa njia ya M-PESA katika namba hii 0754 026 299 au Tigo Pesa 0712 750199 namba hizi ni za mmiliki wa mtandao huu Bw Francis Godwin



Nawaomba tuungane kufanikisha kuokoa maisha ya mtoto Juliana Mwinuka na Mungu atatuongezea zaidi

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Iringa Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa